Michuano ya Mapinduzi kwa mwaka 2016 yamefunguliwa jana huko Zanzibar kwa kuzikutanisha mahasimu wawili wanaotoka katika eneo mojaTaifa Jang'ombe na Jang'ombe boyz ambapo Taifa Jang'ombe imefanikiwa kutoka kifua mbele kwa ushindi wa goli 1-0 goli lililofungwa dakika ya 82 na Seif Hassan.
Mchezo huo ulipigwa katika dimba la Amani lilishuhudia upinzani mkali huju timu hizo zikionekana kukamiana kutokana na kutoka sehemu moja na kuwa na upinzani mkali wa nje na ndani ya uwanja.
Michauano hiyo itaendelea jumapili kwa kuzikutanisha timu za KVZ vs URA mchana huku pambano linalosubiriwa kwa na kati ya Taifa Jang'ombe vs Simba.
AZAM VS PRISON| JOHN BOCCO GOAL!!!!!!!!

EmoticonEmoticon