![]() |
| Gari ya Edwin Gyimah (Nyeupe) ikiwa imegongana na tax. |
Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ghana na klabu ya Orlando Pirates ya Afrika kusini Edwin Gyimah.
Edwin Gyimah,amepata ajali ya gari
Gyimah ambae alikuwa na mpenzi wake ambae nae amepata majeraha, wote walikaa siti ya nyuma wakiendeshwa na dereva wa mchezaji huyo kabla ya kugonga tax kwa nyuma na kusababisha majeraha kwa mchezaji huyo.
Gyimah alikuwa ni miongoni mwa wachezaji wa kikosi cha Ghana kinachotarajiwa kwenda kushiriki Afcon mwezi ujao nchini Gabon na kutokana na ajali hiyo.


EmoticonEmoticon