Kikosi cha Timu ya Simba kimeondoka leo kuelekea Mjini Morogoro kwa ajili ya kwenda kuweka kambi ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania Bara.
Miongoni mwa wachezaji walioondoka leo wapo Ibrahim Ajib na Mkude pamoja na kipa mpya wa klabu hiyo kutoka Ghana.
Baadhi ya wachezaji hao ni kama wafuatao katika picha
Bukungu ndani ya Nyumba
Ndemla akipanda basi
Ajib akijivuta kuingia kwenye basi
Abdi Banda nae anaenda Morogoro
Beki wa Simba Hamad Juma nae alikuwepo
Haji Ugando akipanda basi
Kocha Mayanja akielekea kwenye basi
Kipa mpya wa Simba nae alikuwepo kwenye msafara
Agban anakwenda kupata changamoto kutoka kwa Agyei
Mavugo akidanda kwenye basi
Omong akipitia gazeti ndani ya basi
Muhamed Ibrahim














EmoticonEmoticon