Wanafunzi 238 wakosa nafasi ya kidato cha kwanza Mkoani KATAVI

1:53 PM
Wanafunzi 238 kati ya 6234 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka huu, wamekosa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2017 kufuatia uhaba wa vyumba vya madarasa unaoikabili halmashauri hiyo. 
👏Mkoa wa KATAVI umeshika nafasi ya Tatu Kitaifa kwa kufaulisha wanafunzi wa darasa la Saba kwa mwaka huu.💪
Kaimu katibu tawala Mkoa AWARIYWA NNKO amesema jumla ya wanafuzni 5970 wamechuguliwa 

Kwa upande wake afisa elimu mkoa wa katavi ERNEST HINJU amesema mafanikio hayo yanapaswa kuigwa na mikoa mingine.
⟺⟺⟺
➤ULIITAZAMA  HII: MAKONDA ALA SAHANI MOJA NA MAKAHABA UWANJA WA FISI

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »