Kuelekea mchezo wa Simba dhidi ya Prison tayari kikosi cha Simba kimeshajulikana nabkushuhudia beki Javier Bukungu na kiungi Muhammed Ibrahim wakianzia benchi na kuwapisha Jamal Mnyate na beki Hamad Juma ambae amekosekana katika kimoai cha kwanza kwa muda mrefu.
Kikosi kamili cha Simba leo ni kama ifyatavyo
Agban
Lufunga
Muhamed
Hamad Juma
Mwanjali
Mkude
Kazimoto
Kichuya
Mnyate
Mzamiru
Mavugo
Bechi
Ibrahim
Bukungu
Ndusha
Ndemla
Manyika
Semwanza
Ugando

EmoticonEmoticon