Tanzania ikishirikiana na Singapoor inataraji kubadilisha muonekano wa Mji wa Morogoro kwa kujenga mji wa kisasa katika eneo la Tungi Manispaa ya Morogoro.
Mji huo utakuwa na makazi ya nyumba za watu,Maeneo ya kibiashara na eneo la viwanda na eneo la vyuo vikuu.
Mradi unatazamiwa kutoa ajira zaidi ya laki moja pindi utakapokamilika.
Unaweza kuangalia video hapo chini kujionea mji huo utakavyokuwa

EmoticonEmoticon