Siku chache zilizopita kulifanyika shoo pale jijini Mombasa, shoo hiyo ilimuhusisha msanii kutoka Marekani Chriss Brown pamoja na wasanii wengine wa Afrika akiwemo Wizkid pamoja na wasanii kutoka bongo ambao ni Vanessa Mdee na Ali Kiba.
Katika shoo hiyo Ali Kiba wakati anaimba ghafla alizimiwa mic na na kushushwa jukwaani, Kutokana na tukio hilo mengi yameongewa mitandaoni lakini Vannessa Mdee ameamua kuweka wazi kile kilichosababisha tukio hilo, Bofya video hapo chini kumsikiliza.

EmoticonEmoticon