Ligi soka Tanzania Bara inaendelea tena leo kwa viwanja sita kuwaka moto, ligi hiyo inayoingia mzunguko wa 11 kwa timu zisizokuwa na viporo itakuwa kama ifuatavyo.
RATIBA KAMILI LIGI KUU TANZANIA BARA LEO JUMATANO
1. Toto African Vs Yanaga ( CCM Kirumba Mwanza) 16:00
2. Azam FC vs Mtibwa ( Chamazi, Azam Complex) 19:00
3. Ruvu Shooting vs Mwadui (Mabatini, Mlandizi) 16:00
4. Ndanda fc vs Mbeya City (Nangwanda, Mtwara) 16:00
5. Prison vs Stand united (Sokoine,Mbeya) 16:00
6. African Lyon vs Majimaji (Uhuru, DSM) 16:00

EmoticonEmoticon