AUDIO| MSIKILIZE DIAMOND AKIELEZEA KWA NINI ANAWAKATALIA WASANII WA KIMATAIFA KUJIUNGA WCB

2:15 AM
Diamond amedai kuna wasanii wengi wa kimataifa Afrika na nje ya Afrika wametaka kujiunga na WCB lakini amewakatalia kwa kuwa anatka kukuza wa nyumbani kwanza 
Pia amesema sasa hivi hawachukui wasanii wengine wachanga mpaka Ray vanny na harmonize wakue vizuri
Msikilize Hapo chini:



Usipitwe na Vichekesho vya Moro Comedy-Jamaa asepa na Salome wa Diamond- Angalia hapo chini

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »