UFUGAJI WA KUKU WA KISASA SEHEMU YA KWANZA
Na Bonaventure Mafui
Habari wasomaji wa blog ya Jicho la Habari Tanzania, Napenda kujitokeza katika safu hii kutoa Elimu kwa wadau wanaopenda kufuga na kulima, Kupitia kurasa hii utaweza kupata mafunzo mbalimbali kwa njia ya Video na picha juu ya Ufugaji na Kilimo
Vipindi hivi vitakuwa vikikujia katika safu hii kila jumatatu na Ijumaa na leo tunaanza darasa rasmi na ufugaji wa kuku wa kisasa, karibu utazame video hapo chini, pia usisahau ku subscribe Channel yetu ya Youtube @kilimo na ufugaji

EmoticonEmoticon