Klabu soka na mabingwa wa ligi kuu Nchini Uingereza Leicester jana imeendeleza ubabe katika michuano ya UEFA kwa kutoa kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Timu ya Porto ya Ureno.
Alikuwa ni Sliman aliyefanikiwa kumtungua Cassilas dakika ya 25 ya mchezo na kuiwezesha timu yake kuibuka na ushindi wa pili na kujikusanyia pointi sita kileleni baada ya mechi ya kwanza kuifunga timu ya Club Brugge magoli 4-0.
Kama ulipitwa na mechi hiyo unaweza kuitazama hapo chini



EmoticonEmoticon