Uongozi wa jicho la habari tz unawatakia watu wote Eid Njema yenye kuambatana na Amani na utulivu.
Mle, Mnywe na mfurahi lakini msifanye maovu yenye kumkera Mwenyezimungu kwani leo ni siku ya Amani na ya kumshukuru yeye kwa kumaliza salama mfungon wa mwezi wa Ramadhani.
EID MUBARAK


EmoticonEmoticon