UFARANSA KUFUNGUA MICHUANO YA EURO LEO

5:08 AM
Pazia la Mashindano ya mataifa ya ulaya maarufu kama Euro, yanaanza leo Jun 10/2016 huko nchini Ufaransa. Wenyeji wa michuano hii Ufaransa watafungua pazia kwa kushuka dimbani kuwakabili Romania katika mechi ya kundi A mchezo ukichezwa katika uwanja wa Stade de France Mjini Paris.

Jumla ya timu 24 zitashiriki michuano hii na ikiwa ni mara ya kwanza kuweza kushirikisha idadi ya timu hizo hapo awali ni timu 16 tu ndizo zilikua zinacheza michuano hii.

Viwanja kumi vikitumika kumsaka bingwa mpya wa ulaya,mabingwa watetezi wa mashindano haya ni Spain ambao walibeba Kombe Mwaka 2012.

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »