Ni June 2, 2016 ambapo label ya Wasafi inayomilikiwa na staa Diamond Platnumz inaingia kwenye headlines za Bongo Fleva baada ya kumtambulisha rasmi msanii wao mpya Rich Mavoko ambaye anakuwa ni msanii wa nne atakayesimamiwa kazi zake katika label hiyo.
Kwa mujibu wa Diamond Platnumz alisema…’Kwasasa Label yangu inakuwa na jumla ya wasanii nne ukiachana na Rich Mavoko kuna Dada yangu Queen Darlingambaye sijawahi kumtambulisha lakini anakuwa ni msichana wa kwanza katika label yangu kwahiyo tutakuwa na jumla na wasanii nne Raymond, Harmonize, Rich Mavoko na Queen Darling’- Diamond Platnumz
Hizi ni baadhi ya picha kutoka katika utambulisho wa msanii huyo mpya








EmoticonEmoticon