Magoli mawili ya Gonzalo Higuaini na moja la Lionel Messi bilakusahau goli la Ezequel Lavezzi wote wa Argentina yamisaidia timu hiyo kwenda fainali za Copa America baad ya kuifunga timu ya USA kwa magoli 4-0 Alfajiri ya leo.
Lionel Messi akiifungia Argentina goli la pili kwa mkwaju wa adhabu.
Argentina watasubiri mchezo mwingine wa nusu fainali kati ya Colombia na Chile utakaopigwa leo jumatano ambapo kutokana na majira yalivyo kwetu itakuwa ni Alhamisi.
Fainali itachezwa siku ya Jumapili.

EmoticonEmoticon