Hapa baada ya kusikiliza mashtaka wanayotuhumiwa nayo na hakimu mkazi Morogoro ambapo mashtaka hayo yaliwahusisha washtakiwa vinara wa kubaka kisha kumwingilia kinyumbe na maumbile msichana na kusambaza katika mitandao ya kijamii.
Washtakiwa Vinara Idd Adamu (32) mkazi wa Makambako kulia na Zuberi Thabiti (30) mkazi wa Mbarali mkoani Mbeya kushoto wakiwa kwenye gari la polisi tayari kurudishwa mahabusu ya magereza mkoa wa Morogoro baada ya kusomewa mashtaka yanayowakabiri na wenzano wanne mahakama ya hakimu mkazi Morogoro Jana.
Sura za wahusika wakuu zikionekana bila bughaza, kushoto, Zuberi Thabiti (30) kulia ni Idd Adamu (32) anayedaiwa aliyekuwa akichukua picha za video wakati mwenzake akifanya mapenzi na msichana bila ridhaa yake
EmoticonEmoticon