REAL MADRID MABINGWA WAPYA WA UEFA, RONALDO ASHINDILIA MKWAJU WA MWISHO WA PENATI NA KUIPA UBINGWA MADRID

3:11 PM
Timu ya Real Madrid imetawazwa kwa mara nyingine ubingwa wa kombe la UEFA Champions baada ya kushinda kwa mikwaju ya penati 5-3 baada ya dakika 120 kumalizika kwa sare ya goli 1-1.
                           Ronaldo akipiga penati ya mwisho


    Angalia vide ya magoli 1-1 yalivyopatikana hapo chini

Share this

SPORT HITS IS A BLOG BASED ON PROVIDING SPORT NEWS FROM ALL AROUND THE WORLD, STAY WITH US ALL THE TIME FOR INSTANT UPDATES.. Dont Forget to follow us on Facebook, twitter and Instagram @sporthitstz

Related Posts

Previous
Next Post »