Hatimae zile tetesi tetesi sasa zimethibitishwa rasmi na klabu ya Manchester united kwamba imeingia mkataba rasmi na kocha Josse Morinho kuifundisha Timu hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu.
Morinho amechukua nafasi ya Luis Van Gaal aliyetimuliwa jumatatu iliyopita licha ya kuipa klabu hiyo taji la FA lakini wakiwa hawana matokeo mazuri katika ligi kuu.
